ABOUT US | KUHUSU SISI

We love drawing
We entertain drawing
We want to deliver you something you like best
We embrace differences day to day
We want to change it into money(something worth you can pay for it)
We currently located Tanzania, Mbeya our precise location is on the right widget
Our hot line (calls only) +255718738678
Our e-mail heximichoro.wp@gmail.com
whatsapping here
 
THEN WHY US
 
1.We offer you easily   drawing  document since it is clouded stored and only  password we can send it to you
 
2. we give you estimation to the drawing document that you want, schedule of material.(soon we will add bill of quantity based on tanzanian rates)
 
3. we can recommend you best builder(it will once come to our service that we will be responsible for the whole building until we give you the door key).
 
4.  we receive order like you have the picture that have side view or perspective view then we can transfer it to the real drawing (give us the picture you have liked from the internet or you have photographed it then we will transform to the realistic drawing).
 
5. we are too flexible on what the customer wants and don’ts this we can have multiple review on the drawing but increment to the charges will be awarded.
 
6. we give advice to our customer based on every stage of the construction that has to take, we love to see the building come out as the rendered picture shows then by saying this we will be supporting by advice to each step in the building construction (small charges will be charged).
 
 
We love your participation to this network 
Give us feedback to what we post any, this include criticism but not insult word.
Tunapenda kuchora
Tunapenda kuchora kama hobby
Tunatamani tukufikishie huduma utakayoipenda
Tunakabiliana na mabadiliko ya siku na siku (style tofauti tofauti za nyumba za kisasa)
Tunatamani kukupa huduma nzuri kwenye michoro ambayo hutojutia kutoa pesa yako
Kwa sasa tunapatikana Tanzania, Mbeya kutupata zaidi kulia kuna widget ya eneo sahihi
Nambari za kutupigie(kupiga tuu) +255718738678
Barua pepe yetu heximichoro.wp@gmail.com
whatsapp hapa
 
KWANINI UFANYE KAZI NASI
 
1. tunatoa ramani ambazo zipo(zimehifadhiwa) mawinguni(cloude), kitu ambacho ni wepesi zaidi kuweza kuipakua na kukutumia nywila(password).
 
2. tunakupa makadirio ya ujenzi katika ramani ambayo utaichagu na pia unaweza ukaona schedule of material.(mbeleni tutaongezea bill of quantity kutokana na rates za ujenzi wa kitanzania)
 
3. tutakupa ushauri wa wajenzi wanaofanya kazi nzuri(huko mbeleni tunatarajia kuanza shughuli nzima ya kusimamia ujenzi wa nyumba nzima).
 
4. tunapokea mahitaji ya aina tofauti tofauti  mfano kama kuna nyumba umeiona ukaipenda tuletee picha tjitahidi kukuletea ramani utakayoipenda hii inahusika pia na picha za nyumba labda ulizoona mtandaoni.
 
5. tunakubaliana na mabadiliko yoyote atakayoyapendelea mteja  kwamba anataka kipi kiwepo na kipi kisiwepo, japokuwa kutakuwa na tozo nyongezo kutokana na mabadiliko hayo.
 
6. tunatoa ushauri kwa kila chaguo ambalo mteja angetamani kuwa nalo pia kwa kila hatua ya site ambapo mteja angetamani apate ushauri, tunatamani nyumba itokee vile inaonekana kwenye picha tutakuwa nae pamoja kujitahidi hili litokee (gharama ndogo ya ziada itahusika).
 
Tunapenda ushiriki wako kwenye matao huu
Tunatamani kuona mapendekezo yako kwenye post tunazotuma, hii inahusisha ukosoaji lakini sio wa matusi.