TERMS AND CONDITIONS(T&C`s) | VIGEZO NA MASHARTI

1. you cannot receive password unless you have paid.

2. this type of softcopy you get from the internet does not include hot signatures from the boards since it vary from country to country example AQRB, ERB .

3. if you want it to be hot signatures then further cost will be applied.

4. communication will be the key to the business made here to the internet.

5. we will be responsible on the advice to the costumer on the building construction stage making sure that rendered picture come to reality (small charges will be charged).

6. we use two languages here swahili and English

1. huwezi kupokea nywila kama hujafanya malipo.

2. hii document unayoipata mtandaoni haihusiki na mihuri ya bodi mbalimbali inategemea na nchi na nchi kama vil AQRB, ERB .

3. kama utahitaji mihuri hiyo basi gharama za ziada  zitahusika.

4. mawasiliano ndio yatakua  msingi katika kila step katika huu mtandao .

5. tunawajibika kutoa ushauri kwa  wateja wetu katika kila hatua ya ujenzi wa nyumba  lengo kuifikia  picha iliokuwa rendered iwe sawa na ya site (gharama ndogo ya ziada itahusika).

6.tunatumia lugha mbili kiswahili na kingereza(kimombo)