How to get the drawing document | jinsi ya kupata document mchoro/ramani nzima

1.Click on blue words that says download here

[picture needed]

2. when you open it will claim you a password

[picture needed]

3. in order for us to send you easily the password you only have to send us mail to heximichoro.wp@gmail.com or 

whatsapping here

[picture needed]

4.when e-mailing or whatsapping remember to send the picture with the id that you have choose or you can note aside the id then send it as the heading that we can easily understood example id: urjsh 190304

[picture needed]

5. after you receive the mail with the password then you can  paste it to the doccument

[picture needed]

6.the above step 4 it cannot be completed unless you  have paid (you can also previews our t&c`s )

follow instruction here on how to pay How to pay

[picture needed]

1.bofya maandishi ya blue katika  maandishi yanayosema pakua hapa

[picture needed]

2. utakapoifungua itakudai password

[picture needed]

3. ili tuweze kukutumia nywila (password) njia utakayoitumia ni kututumia barua pepe kwa heximichoro.wp@gmail.com au whatsapp hapa

[picture needed]

4. wakati unatutumia barua pepe au whatsapp kumbuka kututumia id ya ramani uliyoipenda inapatikana kushoto chini mfano id: urjsh 190304 au tutumie picha husika uliyoipenda

[picture needed]

5. baada ya kupokea  nywila(paswedi) utaipaste kwenye document ili iweze kufunguka

[picture needed]

5. kumbuka hatua ya 4 ya juu haiwezi kukamilika kama malipo hayajafanyika ,unaweza angalia vigezo na masharti hapa,

 fuata maelekezo yafuatayo jinsi ya kulipa

[picture needed]