Simple 3 bedroom residential house | ramani ya vyumba 3 simpo ujro 200114

  • Nyumba hii yenyewe kama yenyewe inachukua eneo 10m kwa 15m
  • 1 masterbedroom ya kutosha yenye faragha nzuri
  • 2 vyumba vya kulala vyenye eneo la kutosha
  • 1 choo cha ndani
  • Sehemu ya kulia
  • Sebule  ya kutosha
  • Jiko la ndani pamoja na stoo
  • Vibaraza  vya mbele ya nyumba na kwa upande wa jikoni
  • inaenda matofali 2500
  • bati zinaenda 88 za futi 10
  • Sifa ya kitofauti: ni nyembamba inafaa kwa kiwanja chembamba

Ukipendezewa na hizi picha  unaweza jipatia mchoro   wote kwa

 kuupakua  hapa  ujro 200114 ( 20mb) ( ramani nzima complete )

……Unapata shida jinsi ya kuipata/kuipakua fuata hapa

……unaweza ukaangalia kwa kiasi kuhusu  listi na gharama za material ya ramani yenye id ujro 200114

……kama vile jinsi unaweza kuoona hapa muundo wake utakavyokua kwa

 kuupakua hapa hii ni kama sample  (1 mb)

……Unapata shida jinsi ya kuipata/kuipakua fuata hapa

…..pia unaweza kujaza fomu ya maombi kama ungetamani ramani hapa ili kujua kiwanja kipo wapi na mtaa

…….pia unaweza kutupigia kwa nambari +255718738678 (kupiga tuu) pia kwa barua pepe heximichoro.wp@gmail.com au isaacmoshi[at]hotmail.com au 0718-73-86-78

…….Tucheki whatsap hapa kwa hii post

…….Wasiliana nasi ili kuweza kuona mchoro ulioupakuliwa(kupata password).

…….Kwa ishu ya gharama ni 300,000Tsh maelewano yapo kwa watakaosubrcribe watapata punguzo la 5% ya gharama

…….. Motandao ya kijamii Instagram  @hexi_michoro facebook  fb.com/heximichoro

…….Tunapenda na kuuthamini mrejesho wako katika vilivyopo

…….unaweza kutazama pia huduma zetu hapa

……..vigezo na masharti kuzingatia

  • For this house that occupy space of 10m by 15m
  • 1 master bedroom with full of privacy
  • 2 bedrooms with enough comfortability space
  • 1 public toilet
  • Dining 
  • Large sitting room
  • Kitchen with store
  • Front veranda and kitchen veranda
  • it cost 2500 blocks
  • it takes 88 corrugated iron sheet of size 10ft
  • Special feature: very slim preferably to thinner plot sizes

  download here by clicking here ujro 200114 (20mb)to get a full working drawing to your site

……Troubled with the procedure follow here (it’s like how to)

……..you can preview somehow cost based on little experience schedule of material for ujro 200114

………. full of dimension and everything as you can see

here by clicking here to view sample (1 mb)

……Troubled with the procedure follow here

……………..you can fill this application form, help us to get valid credential detail from your dreamhouse this iclude plot locationing and all

……….you can call us +255718738678(calls only) or mail us on heximichoro.wp@gmail.com or isaacmoshi[at]hotmail.com or 0718-73-86-78

…….you may whatsapp us here with the post reference

………..make sure you contact us to get access to your choice downloaded to enjoy in your construction(getting password to the pdf file)

………..For pricing $140 usd negotiation will be there and 5% off to the email subscriber at the site

…….. Social media Instagram  @hexi_michoro facebook  fb.com/heximichoro

………we love your feedback

…….you can revise what we can offer you here

……..terms and conditions to be followed

Leave a comment