5 bedrooms house, one storey contemporary (hidden roof) style residential house | nyumba ya vyumba 5 ghorofa moja nyumba ya makazi paa la kujificha ujro 200226

  • Nyumba hii yenyewe kama yenyewe inachukua eneo la 12m kwa 13m
  • 1 masterbedroom ya kutosha yenye faragha nzuri
  • 3 vyumba vya kulala vyenye eneo la kutosha vyenye vyoo kwa ndani(kimojawapo kipo floor ya chini)
  • 1 chumba cha kawaida cha kulala kikubwa cha kutosha ( kipo floor ya juu)
  • 2 vyoo vya ndani( kimoja floor ya chini na kimoja floor ya juu )
  • Sehemu ya kulia
  • 2 Sebule  za kutosha (floor ya chini na ya juu)
  • Library ya kujisomea kubwa sawa na chumba (floor ya chini)
  • Jiko la ndani pamoja na stoo
  • Vibaraza  vya mbele ya nyumba na kwa upande wa jikoni
  • Terrace ya floor ya juu
  • inaenda matofali 4100
  • bati zinaenda 63 za futi 10
  • Sifa ya kitofauti: ya kujinafasi privacy mahali pa kujisomea

Ukipendezewa na hizi picha  unaweza jipatia mchoro   wote kwa

 kuupakua  hapa  ujro 200226 ( 23mb)( ramani nzima complete )

……Unapata shida jinsi ya kuipata/kuipakua fuata hapa

……unaweza ukaangalia kwa kiasi kuhusu listi na gharama za material ya ramani yenye id ujro 200226 (haihusishi structure work)

……kama vile jinsi unaweza kuoona hapa muundo wake utakavyokua kwa

 kuupakua hapa hii ni kama sample  (1 mb)

……Unapata shida jinsi ya kuipata/kuipakua fuata hapa

…..pia unaweza kujaza fomu ya maombi kama ungetamani ramani hapa ili kujua kiwanja kipo wapi na mtaa

…….pia unaweza kutupigia kwa nambari +255718738678 (kupiga tuu) pia kwa barua pepe heximichoro.wp@gmail.com au isaacmoshi[at]hotmail.com au 0718-73-86-78

…….Tucheki whatsap hapa kwa hii post

…….Wasiliana nasi ili kuweza kuona mchoro ulioupakuliwa(kupata password).

…….Kwa ishu ya gharama ni 1,200,000Tsh maelewano yapo kwa watakaosubrcribe watapata punguzo la 5% ya gharama

…….. Motandao ya kijamii Instagram  @hexi_michoro facebook  fb.com/heximichoro

…….Tunapenda na kuuthamini mrejesho wako katika vilivyopo

…….unaweza kutazama pia huduma zetu hapa

……..vigezo na masharti kuzingatia

  • For this house occupy space of  12m by 12m
  • 1 master bedroom with full of privacy(upper floor)
  • 3 self-contained bedrooms with enough comfortability space(one of it is at ground and two are on upper floor)
  • 1 normal bedroom at upper floor
  • 2 public toilet (one for ground floor and other for upper floor)
  • Library study room at ground floor
  • Dining 
  • 2 sitting room (for ground floor and for upper floor)
  • Kitchen with store
  • Front veranda and kitchen veranda
  • Upper floor terrace
  • it cost 4100blocks
  • it takes 63 corrugated iron sheet of size 10ft
  • Special feature: full of leisured

If you view pictures and feel satisfied with it,  we encourage you to download it

  download here by clicking here ujro 200226 ( 23mb)to get a full working drawing to your site

……Troubled with the procedure follow here (it’s like how to)

……..you can preview somehow cost based on little experience schedule of material for ujro 200226 (doesn’t involve structural work)

………. full of dimension and everything as you can see

here by clicking here to view sample (1 mb)

……Troubled with the procedure follow here

……………..you can fill this application form, help us to get valid credential detail from your dreamhouse this iclude plot locationing and all

……….you can call us +255718738678(calls only) or mail us on heximichoro.wp@gmail.com or isaacmoshi[at]hotmail.com or 0718-73-86-78

…….you may whatsapp us here with the post reference

………..make sure you contact us to get access to your choice downloaded to enjoy in your construction(getting password to the pdf file)

………..For pricing $550usd negotiation will be there and 5% off to the email subscriber at the site

…….. Social media Instagram  @hexi_michoro facebook  fb.com/heximichoro

………we love your feedback

…….you can revise what we can offer you here

……..terms and conditions to be followed

Leave a comment